Athari za Vita kwa Watoto

By Khadija Mbesa Vita huathiri watoto kwa njia nyingi vile vile inavyoathiri watu wazima. Hata hivyo, kuna athari maalum kwa watoto. Kwanza kabisa, watoto kupata utunzaji, huruma, na umakini kutoka kwa watu wazima ambao wanawapenda mara nyingi huzuiliwa au huwa haipo. Kwa nyakati za vita, upotezaji wa wazazi,kutengwa mbali na wazazi wao, wazazi wanazingatia sana... Continue Reading →

Advertisements

Watoto 70,000 wahama Makazi yao ¬†kwa sababu ya Ghasia

By Khadija Mbesa Idadi ya watoto iliyokaribia 70,000 yalazimishwa kuhama makazi yao wakati ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Syria New YORK, Oktoba tarehe 14, mwaka wa 2019 - "UNICEF imekadiria kuwa karibu watoto 70,000 wametengwa makazi yao tangu uhasama huko kaskazini mashariki mwa Syria kuongezeka karibu wiki iliyopita. "UNICEF inathibitisha kwamba angalau watoto wanne wameuawa... Continue Reading →

Hotuba Saba zilizoongelewa Katika Mkutano Mkuu wa UN

By Khadija Mbesa Wacha tukabiliane, hotuba nyingi kutoka kwa viongozi wa ulimwengu kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2019 (UNGA) labda hautafikia ndani ya vitabu vya historia.¬†Lakini simulizi la msukumo la wahudhuria wengine wengi wanafaa na wanatakiwa wawe ndani ya vitabu vya historia. Kwa wiki nzima ndani ¬†ya UN na nje yake, safu... Continue Reading →

The Impact of Disability on the Lives of Children

By; Khadija Mbesa The World Report on Disability ‚Äď published in 2011 by the World Bank and WHO - estimates that there are more than one billion people globally living with disabilities¬†[1]. This includes approximately 93 million children aged 0‚Äď14 years living with ‚Äúmoderate or severe disability‚ÄĚ (5¬∑1%) of whom 13 million (0¬∑7%) experience severe... Continue Reading →

Enhancing Children’s Future

By Constance Ndeleko (Global Childhood Report, by Save the Children) Children born today have a better chance than at any time in history to grow up healthy, educated and protected, with the opportunity to reach their full potential. Even a generation ago, a child was twice as likely to die before reaching age 5, 70... Continue Reading →

The Vice Damaging African Children

By Constance Ndeleko 33,000 girls and boys have expressed fear that the rising corruption is severely affecting their access to education and health. This is in reference to a recent child consultation undertaken to highlight the level of corruption in Africa. The report- STOLEN FUTURES: The impact of corruption on children in Africa was compiled... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑