What will it take to End Child Marriage?

By Khadija Mbesa Kenya has been among the countries in Africa where child marriage is common, this is driven mostly by culture, poverty, lack of education and FGM. 23% of Kenyan girls are married before they are 18 years old and 4% married at the age of 15. First thing first, cultural differences, if only... Continue Reading →

Advertisements

Watoto walioathirika VVU na UKIMWI

By Khadija Mbesa Idadi ya watoto ambao wameambukizwa na VVU kila mwaka yazidi kushuka. Mwisho wa mwaka wa 2015, watoto milioni 2.6¬† wenye umri wa miaka 15 na zaidi kote ulimwenguni walikuwa wakiishi na virusi, ila ni theluthi moja tu, ya watoto hao walikuwa wanapata matibabu sahihi.   Kesi nyingi za VVU na UKIMWI za... Continue Reading →

Zero HIV, For Zero Hunger

¬†By Constance Ndeleko Failure to address food and nutrition insecurity could translate into a failure to achieve the target to end AIDS as a global pandemic by 2030. Over¬†one third of the population in Kenya still lives under the international poverty line¬†and¬†social, economic and gender disparities remain 35.6% of people live on less than US$... Continue Reading →

Siku ya Kupambana na Umasikini duniani.

By Khadija Mbesa Kwa kweli mnyonge hana haki, katika hii dunia ya sasa, masikini hana haki kabisa, amepokonywa hadi nguvu za kuongea. Moja ya funguo za kukumbana na umasikini wa watoto ni kuushughulikia umasikini huo kupitia kaya zinazoathirika kutokana na ugonjwa huo, Upataji wa huduma bora za kijamii lazima iwe kipaumbele. "- Katibu Mkuu wa... Continue Reading →

Athari za Vita kwa Watoto

By Khadija Mbesa Vita huathiri watoto kwa njia nyingi vile vile inavyoathiri watu wazima. Hata hivyo, kuna athari maalum kwa watoto. Kwanza kabisa, watoto kupata utunzaji, huruma, na umakini kutoka kwa watu wazima ambao wanawapenda mara nyingi huzuiliwa au huwa haipo. Kwa nyakati za vita, upotezaji wa wazazi,kutengwa mbali na wazazi wao, wazazi wanazingatia sana... Continue Reading →

Watoto 70,000 wahama Makazi yao ¬†kwa sababu ya Ghasia

By Khadija Mbesa Idadi ya watoto iliyokaribia 70,000 yalazimishwa kuhama makazi yao wakati ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Syria New YORK, Oktoba tarehe 14, mwaka wa 2019 - "UNICEF imekadiria kuwa karibu watoto 70,000 wametengwa makazi yao tangu uhasama huko kaskazini mashariki mwa Syria kuongezeka karibu wiki iliyopita. "UNICEF inathibitisha kwamba angalau watoto wanne wameuawa... Continue Reading →

Her story matters. Her life matters.

By Ann Wambui All genders are equal regardless of how society has portrayed girls to be inferior. And as they always say, ‚Äúwhat a man can do, a woman can do better‚ÄĚ. I am not just saying this to brag but because it is a true reflection of what women nowadays are doing thanks to... Continue Reading →

Sigh of Relief; State the of Class

By Constance Ndeleko Development‚Ķ Following a story I published early this year in May on the State of Class in Kilifi County, Mangororo Primary School in Ganze Sub-county; where students found themselves in a conceding situation after they reported in school only, to find their classrooms flooded when the heaven‚Äôs opened causing a heavy down... Continue Reading →

Makosa ya Hanrock kuhusu Chanjo ya Lazima kwa Mtoto

By Khadija Mbesa ‚ÄúKatibu wa afya wa Uingereza afanya makosa kufikiria kuwa chanjo ya lazima ya watoto itasaidia kukabiliana na viwango vya vilivyoanguka nchini Uingereza,‚ÄĚdaktari anayeongoza anasema. Matt Hancock amesema kuwa "anaangalia sana kuhusu chaguo hilo‚ÄĚ. Lakini Chuo Kikuu cha Royal Paediatrics na mtaalam wa Afya ya watoto Dkt David Elliman alisema kuwa inaweza kuwa... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑