What will it take to End Child Marriage?

By Khadija Mbesa Kenya has been among the countries in Africa where child marriage is common, this is driven mostly by culture, poverty, lack of education and FGM. 23% of Kenyan girls are married before they are 18 years old and 4% married at the age of 15. First thing first, cultural differences, if only... Continue Reading →

Advertisements

Watoto walioathirika VVU na UKIMWI

By Khadija Mbesa Idadi ya watoto ambao wameambukizwa na VVU kila mwaka yazidi kushuka. Mwisho wa mwaka wa 2015, watoto milioni 2.6  wenye umri wa miaka 15 na zaidi kote ulimwenguni walikuwa wakiishi na virusi, ila ni theluthi moja tu, ya watoto hao walikuwa wanapata matibabu sahihi.   Kesi nyingi za VVU na UKIMWI za... Continue Reading →

Zero HIV, For Zero Hunger

 By Constance Ndeleko Failure to address food and nutrition insecurity could translate into a failure to achieve the target to end AIDS as a global pandemic by 2030. Over one third of the population in Kenya still lives under the international poverty line and social, economic and gender disparities remain 35.6% of people live on less than US$... Continue Reading →

Siku ya Kupambana na Umasikini duniani.

By Khadija Mbesa Kwa kweli mnyonge hana haki, katika hii dunia ya sasa, masikini hana haki kabisa, amepokonywa hadi nguvu za kuongea. Moja ya funguo za kukumbana na umasikini wa watoto ni kuushughulikia umasikini huo kupitia kaya zinazoathirika kutokana na ugonjwa huo, Upataji wa huduma bora za kijamii lazima iwe kipaumbele. "- Katibu Mkuu wa... Continue Reading →

Hotuba Saba zilizoongelewa Katika Mkutano Mkuu wa UN

By Khadija Mbesa Wacha tukabiliane, hotuba nyingi kutoka kwa viongozi wa ulimwengu kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2019 (UNGA) labda hautafikia ndani ya vitabu vya historia. Lakini simulizi la msukumo la wahudhuria wengine wengi wanafaa na wanatakiwa wawe ndani ya vitabu vya historia. Kwa wiki nzima ndani  ya UN na nje yake, safu... Continue Reading →

Her story matters. Her life matters.

By Ann Wambui All genders are equal regardless of how society has portrayed girls to be inferior. And as they always say, “what a man can do, a woman can do better”. I am not just saying this to brag but because it is a true reflection of what women nowadays are doing thanks to... Continue Reading →

Sigh of Relief; State the of Class

By Constance Ndeleko Development… Following a story I published early this year in May on the State of Class in Kilifi County, Mangororo Primary School in Ganze Sub-county; where students found themselves in a conceding situation after they reported in school only, to find their classrooms flooded when the heaven’s opened causing a heavy down... Continue Reading →

Siku ya Mtoto wa Kike,

By Khadija Mbesa Oktoba tarehe 11 mwaka wa 2019: siku ya kimataifa ya mtoto wa kike: Mawakala ya mabadiliko: Wasichana kupigania ulimwengu ulio bora.   Katika hafla ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Wa kike, wataalam wa haki za binadamu wa UN * wameshangilia nguvu na hisia za uharaka, na pia ujasiri na akili,... Continue Reading →

Environmental Risks

By Constance Ndeleko Children are uniquely vulnerable to air pollution – due both to their physiology as well as to the type and degree of their exposure. Around 300 million children currently live in areas where the air is toxic – exceeding international limits by at least six times. Around 600,000 of those were children... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑