Watoto walioathirika VVU na UKIMWI

By Khadija Mbesa Idadi ya watoto ambao wameambukizwa na VVU kila mwaka yazidi kushuka. Mwisho wa mwaka wa 2015, watoto milioni 2.6Ā  wenye umri wa miaka 15 na zaidi kote ulimwenguni walikuwa wakiishi na virusi, ila ni theluthi moja tu, ya watoto hao walikuwa wanapata matibabu sahihi.   Kesi nyingi za VVU na UKIMWI za... Continue Reading →

Advertisements

Zero HIV, For Zero Hunger

Ā By Constance Ndeleko Failure to address food and nutrition insecurity could translate into a failure to achieve the target to end AIDS as a global pandemic by 2030. OverĀ one third of the population in Kenya still lives under the international poverty lineĀ andĀ social, economic and gender disparities remain 35.6% of people live on less than US$... Continue Reading →

Athari za Vita kwa Watoto

By Khadija Mbesa Vita huathiri watoto kwa njia nyingi vile vile inavyoathiri watu wazima. Hata hivyo, kuna athari maalum kwa watoto. Kwanza kabisa, watoto kupata utunzaji, huruma, na umakini kutoka kwa watu wazima ambao wanawapenda mara nyingi huzuiliwa au huwa haipo. Kwa nyakati za vita, upotezaji wa wazazi,kutengwa mbali na wazazi wao, wazazi wanazingatia sana... Continue Reading →

Sigh of Relief; State the of Class

By Constance Ndeleko Developmentā€¦ Following a story I published early this year in May on the State of Class in Kilifi County, Mangororo Primary School in Ganze Sub-county; where students found themselves in a conceding situation after they reported in school only, to find their classrooms flooded when the heavenā€™s opened causing a heavy down... Continue Reading →

Makosa ya Hanrock kuhusu Chanjo ya Lazima kwa Mtoto

By Khadija Mbesa ā€œKatibu wa afya wa Uingereza afanya makosa kufikiria kuwa chanjo ya lazima ya watoto itasaidia kukabiliana na viwango vya vilivyoanguka nchini Uingereza,ā€daktari anayeongoza anasema. Matt Hancock amesema kuwa "anaangalia sana kuhusu chaguo hiloā€. Lakini Chuo Kikuu cha Royal Paediatrics na mtaalam wa Afya ya watoto Dkt David Elliman alisema kuwa inaweza kuwa... Continue Reading →

Environmental Risks

By Constance Ndeleko Children are uniquely vulnerable to air pollution ā€“ due both to their physiology as well as to the type and degree of their exposure. Around 300 million children currently live in areas where the air is toxic ā€“ exceeding international limits by at least six times. Around 600,000 of those were children... Continue Reading →

The Future is Now

By Constance Ndeleko This report, The Future is now: Science for Achieving Sustainable Development, is the first quadrennial Global Sustainable Development Report prepared by an independent group of scientists. Why the report Despite great efforts achieved under the SDGs thereā€™re still some loop holes that need to be sealed. There has been limited progress globally,... Continue Reading →

Athari za talaka kwa mtoto.

By Khadija Mbesa Talaka huenda ikawa wakati mgumu kwa familia nzima, ila huathiri sana watoto kuliko wazazi. Kuchukua hatua kubwa kama ya kutalakiana, wazazi huwa wamefikiria sana, kwani wazazi wengi katika ndoa za sasa wanavumiliana tu kwa sababu ya watoto wao. Mimi ni mwathirika wa talaka ya wazazi wangu lakini haikuniathiri mno kwani nimeona nyumba... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑